Alumni.NET News  Abukawthar's activities
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Photo about my activity at Dodoma Secondary School
  6526.jpg
  December 25, 2010 at 2:16pm
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  December 25, 2010 at 1:26pm
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Tabora Boys Secondary School
  6525.jpg
  December 25, 2010 at 12:35pm
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Tabora Boys Secondary School
  6524.jpg
  December 25, 2010 at 12:31pm
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Tabora Boys Secondary School
  6523.jpg
  December 25, 2010 at 12:26pm
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Tabora Boys Secondary School
  6522.jpg
  December 25, 2010 at 12:18pm
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Tabora Boys Secondary School
  6521.jpg
  December 25, 2010 at 12:11pm
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Tabora Boys Secondary School
  6520.jpg
  December 25, 2010 at 11:50am
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Photo about my activity at Dodoma Secondary School
  6519.jpg
  December 25, 2010 at 11:44am
  30694003.jpg
  Abukawthar A. Karume
  Photo about my activity at Dodoma Secondary School
  6518.jpg
  December 25, 2010 at 11:42am
  Abukawthar's friends (0)

  Information
  Abukawthar A. Karume
  name
  Male
  gender
  Married
  relationship
  Networking
  looking for
  Muslim
  religion
  2
  children
  No
  drinker
  Other
  ethnicity
  Kuhusu Mimi !

  Kwa jina naitwa Sadiki Adamu Karume, wengi wananiita Babakaw. Ni baba wa watoto wawili, Kawthar Sadiki na Kulthum Sadiki. Ndiyo maana nikaitwa Babakaw, usiulize kwa nini nisiitwe Babakul, ni vijimambo tu vya kimaisha.

  Nimezaliwa mwaka 1976 katika mji wa Dodoma, makao makuu ya chama tawala na serikali ya Tanzania katika hospitali ya wilaya ya Dodoma, the so called General Hospital. Tulizaliwa mapacha mimi na Dada yangu aitwaye Asha adamu Karume, kwa hiyo sisi ni ma-fraternal twince.

  Nilipata elimu yangu ya msingi pale mji mpya Dodoma katika shule ya msingi Uhuru kuanzia mwaka 1986 mpaka 1992 pale nilipohitimu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari Dodoma ilyopo pale karibu kabisa na mjengo wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  Kuanzia mwaka 1993 mpaka 1997 nilipata ile elimu yangu ya sekondari hapo DOMSEKI na 1997-1999 nilikuwa pale Tabora Boys High School kupiga kwata la kijeshi nikisotea elimu yangu ya sekondari ya A-Level ambapo baada ya hapo nilijiunga na Mlimani, the University of Dar es Salaam kuanzia mwaka 2000-2004 nikichukua jiwe langu la Uhandisi Ujenzi yaani Civil and Strucural Engineering, kwa msisitizo zaidi.

  Baada ya kumaliza hapo ndipo niliingia mitaani kusaka unga ambapo mwaka huo huo nilianza kufanya kazi na kampuni moja ya Ujenzi iitwayo E and A construction Company ya Dar es Salaam , kisha mwaka 2005 mwazoni nikaajiliwa na Kampuni ya Ujenzi wa barabara ya PORTICO construction Company ya Dodoma.

  Julai 1, mwaka 2005 niliajiriwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Rufiji kama Mhandisi daraja la Pili ambako ndiyo mpaka sasa nipo nafanya kazi hapo kama Mhandisi daraja la kwanza.

  KARIBU SANA NDUGU YANGU !
  about me
  I 'm together with ma family, my wife and my kids, Kawthar and Kulthum
  happiest when
  going astry from the way the Almight want us to live!
  scared of

  Abukawthar's groups
  Dodoma Secondary School
  Certificate of Secondary Shool Education, CSS
  Student
  January 1992 - September 1996
  Tabora Boy's High School
  Adavanced Certificate of Secondary School Education, ACSS
  Student
  January 1997 - July 1999
  University of Dar es Salaam
  Undergraduate, Engineering
  Student
  September 2000 - September 2004


  Help Bot | FAQ | About Us | Terms & Conditions | Privacy
  Copyright ©  Alumni.NET, Patent Pending